Thursday, 3 April 2025

TAMISEMI: Kubadilisha Tahasusi (Combination) na Kozi Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024

  AjiraLeo Tanzania       Thursday, 3 April 2025
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
AJIRALEO TANZANIA

TAMISEMI: Kubadilisha Tahasusi (Combination) na Kozi Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024

Selform System TAMISEMI 2025 | Kubadilisha Taasusi Form Four 2025/2026, Selform MIS 2025/2026 | TAMISEMI Selform System, Kubadilisha Combinations Form Four 2025/2026, Form Five Selection 2025/2026, Kubadilisha Tahasusi 2025/2026 Form Five, selform.tamisemi.go.tz

💥FOR SELFORM SYSTEM TAMISEMI 2025 | KUBADILISHA TAASUSI FORM FOUR 2025, SELFORM MIS 2025. CLICK HERE!

TAMISEMI: Kubadilisha Tahasusi (Combination) na Kozi Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi (Combination) au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye. Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi.

💥FOR SELFORM SYSTEM TAMISEMI 2025 | KUBADILISHA TAASUSI FORM FOUR 2025, SELFORM MIS 2025. CLICK HERE!

Fursa ya kubadilisha Tahasusi (Combination) na Kozi Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 Tamisemi
logoblog

Thanks for reading TAMISEMI: Kubadilisha Tahasusi (Combination) na Kozi Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment