![]() |
Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking 2025) |
Orodha Kamili ya vilabu 30 Bora Afrika baada ya hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup 2024/2025.
Baada ya Kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025) Simba SC Kutoka Tanzania imefikisha Pointi 43 kwenye Ubora wa Vilabu Afrika na kupanda mpaka nafasi ya 4 kutoka nafasi ya 6 kwenye Club Ranking.
Simba ipo nafasi ya nne nyuma ya Al Ahly ya Misri yenye pointi 78, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini yenye pointi 57 na Esperance de Tunis ya Tunisia yenye pointi 57.
Nafasi ya tano yupo RS Barkane ya Morocco ikiwa na pointi 42, Zamalek ya Misri wapo nafasi ya sita kwa pointi 42, nafasi ya saba wapo Wydad Athletic ya Morocco ikiwa na pointi 39, Pyramids wao wapo nafasi ya nane wakiwa na pointi 37, USM Alger wapo nafasi ya tisa Kwa pointi 37, huku nafasi ya kumi wakiibeba CR Belouizdad kw pointi 36 na Yanga ya Tanzania ipo nafasi ya 11 kwa pointi 34.
Orodha Kamili ya Vilabu 30 Bora baada ya kukamilika Kwa Robo Fainali ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup 2024/2025 ni kama ifuatavyo;
- Al Ahly – Egypt = 78.
- Mamelod – South Africa = 57.
- Esperance de Tunis – Tunisia = 57.
- Simba SC – Tanzania = 43.
- Zamaleck – Egypt = 42.
- RS Berkane – Morocco = 42.
- Wydad Athletic – Morocco = 39.
- Pyramid FC – Egypt = 37.
- USM Alger – Algeria = 37.
- CR Belouizdad – Algeria = 36.
- Yanga SC – Tanzania = 34.
- ASEC Mimosas – Ivory Coast = 33.
- Al Hilal Omdurman – Sudan = 32.
- TP Mazembe – DR Congo = 30.5.
- Orlando Pirates – South Africa = 30.
- Raja Casablanca – Morocco = 30.
- Petro de Luanda – Angola = 27.
- AS FAR Rabat – Morocco = 21.
- MC Alger – Algeria = 18.
- Sagrada Esperanca – Angola = 16.
- CS Constantine – Algeria = 15.
- Stellenbosch FC = South Africa = 15.
- Al Masry – Egypt = 14.
- Rivers United – Nigeria = 14.
- JS Kabylie – Algeria – 13.
- Dreams FC – Ghana = 12.
- Stade Malien – Mali = 10.5.
- Horoya Athletic – Guinea = 10.
- Future FC – Egypt – 9.5.
- Etoile du Sahel – Tunisia = 9.
READ ALSO:
- Yanga Yavamia Dili la Fei Toto Simba SC
- Kivumbi na Jasho Vita ya Top 4 Ligi Kuu Tanzania Bara 2025
- Sowah Atangaza Vita Kuwania Kiatu Cha Dhahabu Ligi Kuu NBC
- Wafungaji Bora NBC Premier League 2024-2025
- NBC Premier League Statistics 2024/2025: Top Scorers, Top Assist and Top Clean Sheets
- YANGA SC Watamba Tuzo za Februari Ligi Kuu ya NBC 2024/25
- Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 - NBC Premier League Table 2024/2025
- Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025
- Wapinzani wa Simba Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF 2024/25
- CAF: Vikosi Bora Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking 2025)
- YANGA WAKIKAZA HAPA WATAMPOTEZA MAZIMA SIMBA CAF
- Timu Zinazoshiriki African Football League AFL 2024/2025 | CAF Super League
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025 | NBC Premier League Fixtures 2024-2025
- Timu Tajiri Zaidi Tanzania 2023/24 - Richest Football Teams Tanzania
- Mshahara Wa Clatous Chota Chama Yanga 2024/2025
- Mshahara Wa Stephane Aziz Ki Yanga 2024-2025
- Wasifu/CV ya Joshua Mutale Winga Mpya wa Simba 2024/25
- Wasifu/CV Ya Steven Mukwala Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
- CV ya Ahoua Jean Charles Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2024/2025
- CV ya Boka Chadrak Beki Mpya Wa Yanga 2024/2025 Hii Hapa
- CV ya Duke Abuya Mchezaji Mpya wa Yanga 2024
- Who Will Lead Zinedine Zidane?
- Jezi 10 Bora za Timu za Afrika
- Team 50 Bora Africa: CAF Ranking of African Clubs Men’s
- Wafungaji Bora | Top Scorers CAF Champions League
- Ligi 10 Bora Dunian | FIFA Ranking
- Zawadi za Washindi – CAF Champions League 2024/2025
- Top 10 ya Viungo (Midfielders) Bora Duniani
- Washindi Wote Tuzo za CAF 2023 – Full List CAF Awards Winners 2023
- Ijue Simba Historia ya Simba SC
- Mishahara ya Wachezaji | Simba SC Players Salaries
- CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba 2024
- Soweto Derby History – Top Derby in Africa
- The History and Achievements of Mamelodi Sundowns F.C
No comments:
Post a Comment