Tuesday, 1 April 2025

WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025

  AjiraLeo Tanzania       Tuesday, 1 April 2025
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
Fire and Rescue Service
New Government Job Opportunities at Fire and Rescue Service March 2025

💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥

AJIRA MPYA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI  TANZANIA 2025 | NAFASI MPYA ZA KAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI TANZANIA 2025
WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025
💥LATEST UPDATES: Majina ya Usaili Zimamoto tayari yametoka, Ku-Download/Pakua PDF files za majina Yote, BONYEZA HAPA TAFADHALI!
Overview
Nafasi za Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Tanzania Machi 2025, Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Machi 2025, Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Tanzania, Nafasi Mpya za Kazi JESHI la Zimamoto Tanzania Machi 2025, Tanzanian Fire and Rescue Force Jobs 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima moto Tanzania Machi 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima Moto Machi 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima Moto Tanzania, Nafasi Mpya za Kazi JESHI la Zima Moto Tanzania Machi 2025

WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anayo furaha kukujulisha kuwa umechaguliwa kwenye orodha ya walioteuliwa (SHORTLISTED) kwa nafasi uliyotuma maombi.

Usaili utafanyika katika Ofisi za Kanda za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ulizochagua wakati wa maombi tarehe 5 Aprili, 2025 kwa waombaji wa ngazi ya Kidato cha Nne, na katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Dodoma, kuanzia tarehe 14 Aprili, 2025 kwa waombaji wa Taaluma Maalum (Professional Cadres).

Unatakiwa kuja na nyaraka halisi ulizotumia wakati wa kutuma maombi ya kazi, kama ifuatavyo:
  1. Vyeti vya kitaaluma
  2. Vyeti vya taaluma
  3. Cheti cha kuzaliwa
  4. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA (NIN)
  5. Barua ya utambulisho
  6. Barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono

Tafadhali kumbuka: Unakumbushwa kuvaa mavazi ambayo hayatazuia kukimbia.
Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu mchakato wa ajira na tarehe yako ya usaili (kwa waombaji wa Taaluma Maalum pekee).
Majina ya Usaili Zimamoto tayari yametoka, Ku-Download/Pakua PDF files za majina Yote, BONYEZA HAPA TAFADHALI!
NOTE: Download/Pakua PDF files za majina hapo juu tafadhali!
logoblog

Thanks for reading WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment