![]() |
Tuzo za NBC Championship 2024/25 |
KYARUZI, SIMCHIMBA Wang’ara Tuzo za NBC Championship 2024/25
BEKI wa Mtibwa Sugar Erick Kyaruzi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Januari wa Ligi ya NBC Championship 2024/25, huku Awadh Juma wa Mtibwa Sugar akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo.Kyaruzi aliyeingia fainali katika mchakato huo na Raizin Hafidh wa Mtibwa Sugar na Boniface Maganga wa Mbeya Kwanza, alionesha kiwango chenye mwendelezo katika safu ya ulinzi, huku pia akisaidia timu yake kwa kufunga mabao mawili katika dakika 270 za michezo mitatu aliyotumika.
Kwa upande wa Awadh aliyeingia fainali na Zuberi Katwila wa Bigman na Emmanuel Massawe wa Mbeya Kwanza, aliiongoza timu yake kupata ushindi katika michezo yote mitatu iliyocheza ikivuna pointi tisa na kuendelea kuongoza ligi hiyo.
READ ALSO:
- YANGA SC Watamba Tuzo za Februari Ligi Kuu ya NBC 2024/25
- Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 - NBC Premier League Table 2024/2025
- Wapinzani wa Simba Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF 2024/25
- CAF: Vikosi Bora Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking 2025)
- YANGA WAKIKAZA HAPA WATAMPOTEZA MAZIMA SIMBA CAF
- Timu Zinazoshiriki African Football League AFL 2024/2025 | CAF Super League
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025 | NBC Premier League Fixtures 2024-2025
- Timu Tajiri Zaidi Tanzania 2023/24 - Richest Football Teams Tanzania
- Mshahara Wa Clatous Chota Chama Yanga 2024/2025
- Mshahara Wa Stephane Aziz Ki Yanga 2024-2025
- Wasifu/CV ya Joshua Mutale Winga Mpya wa Simba 2024/25
- Wasifu/CV Ya Steven Mukwala Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
- CV ya Ahoua Jean Charles Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2024/2025
- CV ya Boka Chadrak Beki Mpya Wa Yanga 2024/2025 Hii Hapa
- CV ya Duke Abuya Mchezaji Mpya wa Yanga 2024
- Who Will Lead Zinedine Zidane?
- Jezi 10 Bora za Timu za Afrika
- Team 50 Bora Africa: CAF Ranking of African Clubs Men’s
- Wafungaji Bora | Top Scorers CAF Champions League
- Ligi 10 Bora Dunian | FIFA Ranking
- Zawadi za Washindi – CAF Champions League 2024/2025
- Top 10 ya Viungo (Midfielders) Bora Duniani
- Washindi Wote Tuzo za CAF 2023 – Full List CAF Awards Winners 2023
- Ijue Simba Historia ya Simba SC
- Mishahara ya Wachezaji | Simba SC Players Salaries
- CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba 2024
- Soweto Derby History – Top Derby in Africa
- The History and Achievements of Mamelodi Sundowns F.C
Simchimba aliyeingia fainali katika mchakato huo na Oscar Tarimo wa Mbeya Kwanza na Mwisho Yangson wa Polisi Tanzania alionesha kiwango chenye mwendelezo ikiwa ni pamoja na kufunga mabao manne katika michezo mitatu kwa dakika 253 alizocheza.
Kwa upande wa Muya aliyeingia fainali na Zuberi Katwila wa Bigman na Juma Hussein wa Stand United, aliiongoza timu yake kushinda michezo minne kati ya mitano iliyocheza mwezi huo.
No comments:
Post a Comment