Wednesday, 19 March 2025

Bado Nina Wasiwasi na SIMBA Mbele ya Al Masry

  AjiraLeo Tanzania       Wednesday, 19 March 2025
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
SIMBA
Simba Sports Club
Mchambuzi wa michezo Geoffrey Lea anasema bado ana wasiwasi na Simba mbele ya Al Masry.
Bado nina wasiwasi na Simba mbele ya Al Masry, labda ya kufikia tarehe 2 Simba itakuwa imejiimarisha zaidi, kumfunga Dodoma Jiji goli 6 sio tiketi ya kwenda kumfunga Al Masry.
Nimewafuatilia Al Masry wapo vizuri na mpira sio bahati bali Simba anakutana na wapinzani ambao wamemzidi.
Geoffrey Lea
READ ALSO:
KWAKO WEWE MDAU: JE, SIMBA HII UNAIONAJE? WEKA COMMENT YAKO HAPO CHINI
logoblog

Thanks for reading Bado Nina Wasiwasi na SIMBA Mbele ya Al Masry

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment