Thursday, 9 January 2025

UTUMISHI/TAMISEMI: Taarifa Zote Muhimu Kuhusu Usaili wa Ajira za Ualimu 2025 na Majina ya Nyongeza

  AjiraLeo Tanzania       Thursday, 9 January 2025
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
UTUMISHI/TAMISEMI: Taarifa Zote Muhimu Kuhusu Usaili wa Ajira za Ualimu 2025 na Majina ya Nyongeza
UTUMISHI | AJIRA PORTAL
PRESIDENT’S OFFICE
NEW GOVERNMENT JOBS 2025 | NEW JOBS AJIRA PORTAL 2025 | NEW JOBS UTUMISHI 2025 | JOBS VACANCIES 2025
TAMISEMI: Ajira Mpya za Walimu Tamisemi 2025, Ajira Mpya  za walimu Tamisemi  2025, Ajira Mpya za walimu serikalini 2025, Tamisemi Ajira Mpya za walimu 2025, Government Jobs Opportunities Various Regions, Ajira Mpya UTUMISHI 2025, Nafasi Za Kazi Serikalini 2025, TAMISEMI Teachers Government Jobs 2025 | TAMISEMI Ajira Za Walimu 2025, Ajira za Walimu Serikalini 2025, TAMISEMI Ajira Za Walimu 2025, Teachers Jobs TAMISEMI 2025, Teachers Jobs TAMISEMI 2025

LATEST UPDATES ON AJIRA ZA WALIMU 2025

MAJINA YA NYONGEZA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA KADA ZA UALIMU

  1. PART I: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UALIMU MAJINA YA NYONGEZA 08-01-2025
  2. PART II: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UALIMU MAJINA YA NYONGEZA 08-01-2025

TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2025

Kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usaili huo utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025.

RATIBA YA USAILI WA KADA ZA UALIMU 2025

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu kuwa,usaili utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025 kama inavyoonekana kwenye ratiba hii.
Go to our Homepage To Get Relevant Information.
logoblog

Thanks for reading UTUMISHI/TAMISEMI: Taarifa Zote Muhimu Kuhusu Usaili wa Ajira za Ualimu 2025 na Majina ya Nyongeza

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment