Timu zinazoshiriki African Football League AFL 2024/2025, Timu zinazoshiriki CAF Super League 2024/2025, African Football League,AFL, African Football League (AFL), CAF Super League 2024/2025 , CAF Super League 2024, CAF Super League, African Football League AFL 2024/2025, African Football League AFL 2024, AFL 2024/2025, AFL 2024, AFL 2024/25, AFL
Michuano ya African Football League (AFL) 2024/2025 inayojulikana pia kama Africa Super league itakayoanza Januari 11 hadi Februari 9, 2025, inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, ikileta pamoja vilabu 24 bora kutoka kona mbalimbali za bara la Afrika. Hii ni mara ya pili kwa michuano hii kufanyika, ikiwa ni baada ya majaribio ya awali yaliyofanyika mwaka 2023 ambapo vilabu 8 vilishiriki. Timu zinazoshiriki African Football League AFL 2024/2025 | Timu zinazoshiriki CAF Super League 2024/2025
Lengo la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ni kuhakikisha michuano hii inakuwa na wigo mpana zaidi kwa kuongeza idadi ya vilabu vinavyoshiriki, huku ikiangazia uwakilishi kutoka kila kanda ya bara la Afrika. Hii inatoa nafasi kwa vilabu zaidi kushiriki na kuonesha uwezo wao katika soka la kimataifa. Katika toleo hili la pili, vilabu 24 vitashiriki, vikichaguliwa kulingana na viwango vyao kwenye mashindano ya CAF kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, huku kila nchi ikipatiwa nafasi za kushiriki kulingana na uwiano wa kanda.
Timu Zinazoshiriki African Football League AFL 2024/2025 | CAF Super League |
1. Kanda ya CECAF)
Vilabu kutoka kanda ya CECAFA vinavyoshiriki ni:- Young Africans SC (Tanzania)
- Simba SC (Tanzania)
- Al-Hilal Omdurman (Sudan)
- Al-Merrikh (Sudan)
2. Kanda ya COSAFA (4)
Kutoka kanda ya COSAFA, tunapata vilabu:- Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
- Orlando Pirates (Afrika Kusini)
- Petro Atletico de Luanda (Angola)
- Marumo Gallants (Afrika Kusini)
READ ALSO:
- Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 - NBC Premier League Table 2024/2025
- Ratiba Kamili ya Mechi za Kufuzu CHAN 2024 Ukanda wa CECAFA
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025 | NBC Premier League Fixtures 2024-2025
- Timu Tajiri Zaidi Tanzania 2023/24 - Richest Football Teams Tanzania
- Mshahara Wa Clatous Chota Chama Yanga 2024/2025
- Mshahara Wa Stephane Aziz Ki Yanga 2024-2025
- Wasifu/CV ya Joshua Mutale Winga Mpya wa Simba 2024/25
- Wasifu/CV Ya Steven Mukwala Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
- CV ya Ahoua Jean Charles Mchezaji Mpya Wa Simba SC 2024/2025
- CV ya Boka Chadrak Beki Mpya Wa Yanga 2024/2025 Hii Hapa
- CV ya Duke Abuya Mchezaji Mpya wa Yanga 2024
- Who Will Lead Zinedine Zidane?
- Jezi 10 Bora za Timu za Afrika
- Team 50 Bora Africa: CAF Ranking of African Clubs Men’s
- Wafungaji Bora | Top Scorers CAF Champions League
- Ligi 10 Bora Dunian | FIFA Ranking
- Zawadi za Washindi – CAF Champions League 2024/2025
- Top 10 ya Viungo (Midfielders) Bora Duniani
- Washindi Wote Tuzo za CAF 2023 – Full List CAF Awards Winners 2023
- Ijue Simba Historia ya Simba SC
- Mishahara ya Wachezaji | Simba SC Players Salaries
- CV ya Ladaki Chasambi Mchezaji Mpya wa Simba 2024
- Soweto Derby History – Top Derby in Africa
- The History and Achievements of Mamelodi Sundowns F.C
3. Kanda ya UNAF (8)
Kanda ya UNAF inawakilishwa na vilabu vifuatavyo:- Al Ahly Cairo (Misri)
- Wydad Casablanca (Moroko)
- RS Berkane (Moroko)
- Zamalek SC (Misri)
- Raja Casablanca (Moroko)
- USM Alger (Algeria)
- CR Belouizdad (Algeria)
- Esperance Tunis (Tunisia)
4. Kanda ya UFOA & UNIFFAC (8)
Kutoka kanda hizi mbili, vilabu vinavyoshiriki ni:- TP Mazembe (DR Congo)
- ASEC Mimosas (Ivory Coast)
- Horoya AC (Guinea)
- Rivers United (Nigeria)
- Coton Sport de Garoua (Cameroon)
- Nouadhibou (Mauritania)
- AS Vita Club (DR Congo)
- Enyimba FC (Nigeria)
No comments:
Post a Comment