Tanzania Police Force |
JESHI LA POLISI: Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024
JESHI LA POLISI Kuitwa kwenye Interview, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024, JESHI LA POLISI Kuitwa Kwenye Usaili, Walioitwa Kwenye Interview Jeshi la Polisi July 2024, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2024, Walioitwa Kwenye Interview Jeshi la Polisi 2024, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2024 PDF, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2024, Kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi 2024, Kuitwa kwenye interview jeshi la Polisi 2024, Ajira Mpya Jeshi la Polisi Tanzania 2024, Jobs at Tanzania Police Force, Job Opportunities Jeshi la Polisi Tanzania 2024💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥
Call for Interview Police Force Tanzania July 2024JESHI LA POLISI: Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024
Tangazo la kuitwa kwenye usailiMkuu wa Jeshi la Polisi anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT PORTAL, usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 29/7/2024 hadi tarehe 11/8/2024 nchini kote.
Waombaji wa Tanzania Bara wenye elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada usaili wao utafanyika jijini Dar es Salaam katika Chuo cha Taaluma ya Polisi (DPA) kilichopo Barabara ya Kilwa (Kurasini).
Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne na sita usaili wao utafanyika kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.
Waombaji wa Zanzibar wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na nne usaili utafanyika Zanzibar. Kwa walioko Mikoa ya Unguja usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mikoa ya Pemba usaili utafanyika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba (Chakechake).
Read Also:
- NEW TANZANIAN JOBS, INTERNSHIPS AND VOLUNTEERING OPPORTUNITIES 2024 (1,475 POSTS)
- CHECK SCHOLARSHIPS OPPORTUNITIES TO STUDY ABROAD CLICK HERE!
- Download Your National ID (NIDA) Number Here | Download NAMBA NA KITAMBULISHO CHAKO CHA NIDA. BONYEZA HAPA!
- PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS 1988 - 2019. CLICK HERE!
- Free CV Writing and Download, Cover/Job Application Letters, Interview Questions and It's Best Answers plus Examples. Click Here!
- Get Online Police Loss Report Form Tanzania | Free Download
- Ajira za Polisi Muongozo - TPF Recruitment Portal Guide PDF
Kila mmoja anatakiwa kufika akiwa na vyeti halisi vya taaluma (academic certificates), cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Mamlaka ya Utambulisho wa Taifa NIDA au namba ya utambulisho wa Taifa NIDA, nguo na viatu vya michezo.
Kijana yeyote atakaefika kwenye usaili baada ya tarehe 29/07/2024 hatopokelewa. Orodha ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili imeambatishwa pamoja na tangazo hili.
Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
S.L.P 961
DODOMA.
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024 PDF
Kupakua/download tangazo kamili na orodha ya majina bonyeza link hapa chini.Official Released Date: 23rd July, 2024.
SOURCE: POLISI TANZANIA OFFICIAL WEBSITE
READ FULL INTERVIEW DETAILS HERE!
No comments:
Post a Comment