WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA FORM ONE 2020 |
PDF Files | All Regions Form One Selection 2020 | Students Selected to Join Form One 2020
Form One Selection 2020 PDF, Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2020,
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha kwanza 2020, shule
walizopangiwa kidato cha kwanza 2020 selection kidato cha kwanza 2020,
Tamisemi Form Selection 2020, Form One Joining instructions 2020, form
one selection 2020, form one selection 2020 tanzania, form one selection
2020 mwanza, form one selection 2020 tanzania, form one selection 2020
tanzania pdf, form one selection 2020 shinyanga, how to check selection
form one 2020, tamisemi form one selection 2020
Overview:
Regional
Governments and Local Authorities are a full ministry which is under
the Presidency and managed by the Minister of State assisted by two
deputies as managers. There is also the Secretary General who is the Chief Executive Officer of the Government's activities.
One of the tasks of this Ministry is to coordinate all regional development plans with Local Authorities under the presidential office. The administration of this Ministry is under the Minister who is also a member of the Cabinet of Tanzania.
Read Also:
The
Ministry is responsible for regional development in all regions and
districts, especially in ensuring that the infrastructure of each area
in the construction of roads and buildings continues, and at the
appropriate level.
Recommended:
CHECK SCHOLARSHIPS OPPORTUNITIES TO STUDY ABROAD CLICK HERE!
DOWNLOAD PDF FILES ZA MAJINA KAMILI MIKOA YOTE, CLICK LINKS HAPA CHINI: To download PDF Files follow the links below:
DOWNLOAD PDF FILES ZA MAJINA KAMILI MIKOA YOTE, CLICK LINKS HAPA CHINI: To download PDF Files follow the links below:
- DAR ES SALAAM | FORM ONE SELECTION 2020
- DODOMA | FORM ONE SELECTION 2020
- MARA | FORM ONE SELECTION 2020
- TANGA | FORM ONE SELECTION 2020
- RUVUMA | FORM ONE SELECTION 2020
- Serengeti, MARA | FORM ONE SELECTION 2020
- Kongwa, DODOMA | FORM ONE SELECTION 2020
- Bunda, MARA | FORM ONE SELECTION 2020
- Muheza, TANGA | FORM ONE SELECTION 2020
- MANYARA | FORM ONE SELECTION 2020
- MWANZA | FORM ONE SELECTION 2020
- Bahi, DODOMA | FORM ONE SELECTION 2020
- Sengerema, MWANZA | FORM ONE SELECTION 2020
- IRINGA MUNICIPAL | FORM ONE SELECTIONs 2020
- Ngara, KAGERA | FORM ONE SELECTION 2020
- Tunduru, RUVUMA | FORM ONE SELECTION 2020
- GEITA | FORM ONE SELECTIONs 2020
- LINDI | FORM ONE SELECTIONs 2020
- PWANI | FORM ONE SELECTIONs 2020
- Misungwi, MWANZA | FORM ONE SELECTION 2020
- KATAVI | FORM ONE SELECTIONs 2020
- SIMIYU | FORM ONE SELECTIONs 2020
- DODOMA CITY | FORM ONE SELECTIONs 2020
- SUMBAWANGA MUNICIPAL | FORM ONE SELECTIONs 2020
- MTWARA | FORM ONE SELECTIONs 2020
- MOROGORO All Districts | FORM ONE SELECTIONs 2020
- Kwimba, MWANZA | FORM ONE SELECTION 2020
- SINGIDA | FORM ONE SELECTIONs 2020
- SONGWE FORM ONE SELECTION 2020
- NJOMBE FORM ONE SELECTION 2020
- Updated | MOROGORO MUNICIPAL FORM ONE SELECTION 2020
- ARUSHA FORM ONE SELECTION 2020
- Updated | MBEYA FORM ONE SELECTION 2020
- KILIMANJARO FORM ONE SELECTION 2020
- ENDELEA KUTEMBELEA HAPA...KEEP VISITING HERE....
37 comments:
Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha I yako wapi hapa?
Upuuzi mtupu. Sasa gayo majina yako wapi? Links kibao zinaingiliana,
Majina mbona hakuna
Hatutaendelea kwa mfumo huu
Hii Blog mbona haitoi kinachosemwa sasa, huu ni upotoshaji
Kama mnajua hayako tayari mbwembwe za matangazo ya nini tangu jana ovyoo
TUNAWAOMBA MUWE WAVUMILIVU WADAU, KWA MUJIBU WA SERIKALI MAJINA INAPASWA YAANZE KUTOKA LEO 06 DECEMBER, 2019. BADO TUNAFUATILIA NA TUNAWAHIDI TUTAYAWEKA HAPA HARAKA PINDI TU TUTAKAPOPEWA!
MSILALAMIKE KUHUSU KUMALIZIWA MB WADAU, HATA SISI TUNAMALIZA MUDA NA PESA KUFUATILIA MAJINA HAYA ILA HATUWEZI FORCE LAZIMA TUFUATE TARATIBU ZA SERIKALI.
MUHIMU: AJIRALEO.COM NI MTANDAO ULIOSAJILIWA NA SERIKALI KWAHIYO HAKUNA UPOTOSHAJI UNAOTOLEWA HAPA. TUNAOMBA MUENDELEE KUWA WAVUMILIVU NA MUENDELEE KUTEMBELEA MTANDAO HUU MARA KWA MARA ILI MSIPITWE NA MAJINA TUTAKAPOYAWEKA!
Majina yako wapi sasa
????????
Vumilieni wadau majina yatatolewa haya ni mambo mitandao huwa inasumbua kwani kuna mambo mengi ya kuzingatia kabla ya kupost!!!
Jamani hebu kuweni wavumilivu mbona habari zingine tunaletesaga kweli fanya mema mia ila baya moja tu linafutata kila kitu
Tatizo namna unavyotoa taarifa mwanzoni,mfano unakuwa unasema bofya hapa uangalie selection za mikoa yote halafu ukibofya unakuta maneno vitu ambavyo hatutarajii.na hata jana uliandika click hapa uone machaguo ya.kidato cha kwanza ila ukiclick unakutana na neno soon will be available here
TUNASHUKURU KWA UVUMILIVU MLIOUNESHA NA KWA WALE WALIOKWAZIKA TUNAOMBA MTUWIE RADI ILA HAIKUA MAKUSUDIO YETU BALI NI MAMLAKA ZA JUU AMBAZO ZIPO NJE YA UWEZO WETU!
MAJINA YAMESHAANZA KUTOKA KWA BAADHI YA MIKOA, NA TUTAKUA TUNAENDELEA KUYWAWEKA KADRI VILE NASI TUNAVYOYAPOKEA KUTOKA MAMLAKA ZA MIKOA YOTE TANZANIA.
UKIONA MKOA WAKO BADO HAUPO KATIKA LIST HAPO JUU, BASI ENDELEA KUWA MVUMLIVU MAANA HAYAWEZI YOTE KUTOLEWA SIKU MOJA KAMA MNAVYOJUA KILA MKOA UNA TARATIBU ZAKE!
Siku nzima na sehemu hayatoki tu aaah
Mnafeli sana na blog zenu mnatoa habari za ubabaishaji hakuna majina uongo mtupu.
WADAU MNAFELI WAPI? MBONA MAJINA TAYARI YAPO HAPO, NA MPAKA SASA KUNA MIKOA MITATU AMBAYO TUMESHATOA MAJINA YAKE! MBEYA, ARUSHA NA KILIMANJARO...MIKOA MINGINE BADO HAWAJATUTUMIA, TUNATOA KADRI TUNAVYOPOKEA, HII SIO KAZI RAHISI KAMA MFIKIRIAVYO WADAU! KAMA MKOA WAKO BADO HATUJAWEKA ENDELEA KUWA MVUM
ILIVU NA WA KUTULAUMU SIO SISI BALI NI MAMLAKA ZA MKOA WAKO NDIO WANAOCHELEWESHA!
Mfano Wilaya ya Mwanga majina yote ni ya wasichana japo vichwa vya habari mmetofautisha kwa kusema majina ya wasichana na majina ya wavulana...kiuhalisia palipoandikwa wavulana Wilaya ya Mwanga ukigusa na kufungua ni orodha ileile ya wasichana,tagadhali tuwekeeni majina ya wavulana tuone pia..
Otherwise asanteni kwa jitihada.
Tunaomba wizara ya elimu iingilie kati suala hili ili tujue tunajiandaaje sisi kama wazazi.
MBONA MAJINA HAYO YANAKUWA KAMA MTIHANI AU SIRI YATOLEWE TUJUE BAJETI KABLA YA SIKUKUUU LEO TAREHE 7/
MAJINA YA MKOA WA MANYARA YAKO WAPI?
Majina yanatoka lkn polepole sana hadi inakera ebu fikiria tangu muanze kutangaza ni mikoa 4 pekee ndiyo majina yameonekana ndani ya saa 72.Mtamaliza mikoa yote kweli kwa mtindo huu?
ujinga mtupu
tunasubiri na ya mkoa wa pwani
Majina yanatolewa taratibu sana
nimesubir mpaka nimechoka
kwanz kwa nn yalitangazwa kam mchakato haujakamilika
Daresalam na mbembwe zote mpaka Sasa hamna kitu makonda watu wako wanakwama wapi?
MUHIMU: MAJINA YA SELECTIONS ZA FORM ONE 2020 YANATOKA TARATIBU KUTOKANA NA MAMLAKA YA KILA MKOA KUWA NA TARATIBU ZAKE ZA UTOAJI WA MAJINA HAYO! KWA HIYO UKIONA MKOA/WILAYA YAKO BADO HATUJAIWEKA UJUE BADO HAWAJATUTUMIA MAJINA HAYO, SO TUNAOMBA MUWE WAVUMILIVU!
TUNAWAKIKISHIA MTANDAO WA AJIRALEO.COM NA APP YA AJIRALEO TANZANIA TUTAENDELEA KUTOA MAJINA PINDI TU TUNAPOTUMIWA KUTOKA MAMLAKA HUSIKA!
AJIRALEO TANZANIA NI SEHEMU SAHIHI, KUMBUKA AJIRALEO.COM IMESAJILIWA NA SERIKALI/TCRA KWAHIYO TAARIFA ZAKE NI ZA UHAKIKA 100%.
Mkoa wa Mara mbona majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020 hayaonekani? Tatizo nini
DAR ES SALAAM ,MBONA HAMJAWEKA !!
Mbona majina ya mtwara ni wasichana tupu
jamani hadi leo tarehe 10/12/2019 majina ya wanafunzi wa mwanza ni wilaya 2 tu ??????
Sijaipenda hata kidogo hii website ni waongo SAAANA
VP jaman mbona mkoa wa MARA hamjaweka kwa nn
Enter your comment...habari za jion ..mkoa wa dar es salaam,, kwa upande wa ilala bado hamjatuma
Mbna jmn mkoa wa tanga korogwe hamjatuma
Mbona shinyanga mpaka leo bado au kunatatizo gani??
Mkoa wa geita mbona matokeo hayonekan tatzo nn
Post a Comment